Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga watua fasta Dar baada ya kufungwa 1-0 Misri na Al Ahly

Yanga Watua Kibabe Dar Yanga watua fasta Dar baada ya kufungwa 1-0 Misri na Al Ahly

Sat, 2 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga kimewasili leo nchini kikitokea Misri kwenye mchezo wa mwisho hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly na kufungwa bao 1-0.

Kikosi cha Yanga kimewasili leo nchini kikitokea Misri kwenye mchezo wa mwisho hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly na kufungwa bao 1-0. Yanga imefuzu hatua ya robo fainali ya michuano hiyo baada ya kumaliza nafasi ya pili kundi B huku Ahly akiongoza kwa pointi 12.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live