Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga watua Dar kuisikilizia Singida Fountain Gate

Yanga Dom 004 Kiko

Thu, 11 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga kimewasili Dar es Salaam kikitokea Dodoma kwenye mchezo wa 16 bora wa Kombe la Shirikisho la CRBD walipoisambaratisha Dodoma Jiji Fc 2-0 na kutinga hatua ya Robo Fainali ya michuano hiyo.

Kikosi cha Yanga kimewasili Dar es Salaam kikitokea Dodoma kwenye mchezo wa 16 bora wa Kombe la Shirikisho la CRBD walipoisambaratisha Dodoma Jiji Fc 2-0 na kutinga hatua ya Robo Fainali ya michuano hiyo. Kituo kinachofuata ni mkoani Mwanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Singida Fountain Gate utakaopigwa Aprili 14, Uwanja wa CCM Kirumba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live