Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga watoa salamu za Pole vifo vya Mashabiki Namungo

Mashabiki Namungo Hospital Yanga watoa salamu za Pole vifo vya Mashabiki Namungo

Wed, 20 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia ajali waliyopata Mashabiki wa Namungo wakati wakiwa njiani kwenda kutazama mechi ya Yanga dhidi ya Namungo.

Ajali hiyo imetokea wa kuamkia leo katika eneo la Miteja karibu na Somanga mkoani Lindi na kuchukua roho za Mashabiki wanne huku majeruhi ni 16 wamepelekwa katika kituo cha afya Tingi wilayani Kilwa kupatiwa matibabu.

Soma Taarifa ya Yanga kwa kirefu hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: