Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga watawala Kikosi bora cha wiki CAF

Yanga Squad Tt Kikosi cha Yanga

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Timu ya Yanga imetoa wachezaji saba katika kikosi bora cha Wiki cha Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya Nusu Fainali.

Katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa jana Yanga ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika ya Kusini.

Timu nyingine zilizotoa wachezaji katika kikosi bora cha wiku ni Asec Mimosas (2) USN Algier na Marumo wakitoa mchezaji mmoja kila timu.

Taam kikosi kamili hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live