Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wasipokuwa makini leo watafungwa - Shafii Dauda

Yanga Wasipokuwa Makini Leo Watafungwa   Shafii Yanga wasipokuwa makini leo watafungwa - Shafii Dauda

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa soka nchini Shafii Dauda amesema hana hofu na Yanga lakini wanatakiwa kuwa makini sana leo kwenye mechi yao dhidi ya Medeama huko nchini Ghana.

Shafii ametoa angalizo hilo akidai Medeama wanauhitaji pia huu mchezo wa leo.

“Sina hofu na Yanga lakini nawapa angalizo, wanaenda kukutana na timu ambayo ina matarajio makubwa, jukumu kubwa ambalo wanalo ni jinsi gani watahakikisha wanapata alama tatu.”

“Wasipokuwa na mipango thabiti pointi tatu wanaweza wakazikosa vile vile, lakini ukiniuliza kuhusu matumaini sina hofu nauachia mpira uweze kutoa majibu,” alisema Shafii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live