Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga washusha mrithi wa Metacha Jangwani

Metacha X Khomeny Yanga washusha mrithi wa Metacha Jangwani

Tue, 18 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga inatajwa kukamilisha usajili wa mlinda mlango wa klabu ya Ihefu Aboubakar Khomeiny ambaye anajiunga na Yanga kama mbadala wa Metacha Mnata ambaye ameachwa Jangwani.

Klabu ya Yanga inatajwa kukamilisha usajili wa mlinda mlango wa klabu ya Ihefu Aboubakar Khomeiny ambaye anajiunga na Yanga kama mbadala wa Metacha Mnata ambaye ameachwa Jangwani. Metacha na Khomeiny waliwahi kucheza pamoja Singida Fountain Gate msimu uliopita kabla ya Metacha kutimkia Yanga na mwenzake kwendA Ihefu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: