Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga waongeze kiungo mkabaji

Aucho9175 Yanga waongeze kiungo mkabaji

Sat, 11 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Swali ni moja tu, Kwa mfano pale Yanga Khalid Aucho anaumia,Yanga wanaenda kucheza na CR BELOUZDAD ugenini, fikiria eneo la kiungo mkabaji atacheza nani na nani?

Jibu utaliona hapo, Yanga wanap viubgo wengi kama Mkude,Mudathir,Sure Boy na Zawadi Mauya lakini sioni mwenye uwezo wa kuituliza timu kama Aucho,kukaba kama Aucho..

Hivyo kuelekea dirisha dogo la usajili Yanga wanatakiwa kuongeza mtu kwenye eneo hilo pamoja na maeneo mengine kama Mshambuliaji wa kati wa maana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live