Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wang'ara kikosi bora wa Wiki CAF

Nondo Mayele Wachezaji wa Yanga walioingia Kikosi bora cha wiki Kombe la Shirikisho

Tue, 25 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji watatu wa Yanga wameingia katika kikosi bora cha Wiki cha Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya Robo Fainali.

Yanga ilikuwa ugeni ni wikiendi iliyopita kukipiga na Rivers United ya Nigeria ambako waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 yaliyofungwa na Fiston Mayele huku pasi za mabao yote mawili akitoa mlinzi wa kati Bakari Nondo Mwamnyeto.

Wachezaji watatu wa Yanga walioingia katika kikosi hiko ni walinzi Bakari Nondo Mwanyeto, Ibrahim Bacca na Mshambuliaji Fiston Mayele.

Tazama kikosi kamili cha Shirikisho hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live