Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wanasajili ma-MVP tupu

Maxi Ageee.jpeg Yanga wanasajili ma-MVP tupu

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama mambo yatabaki kama yalivyo basi klabu ya Yanga itamsajili MVP wa AS Maniema wa Msimu 23/24, Basiala Agee (25).

Basiala Agee (25) ndiye kinara wa Assists katika klabu ya AS Maniema ndani ya ligi kuu ya Congo DR kwa msimu wa 23/24.

Basiala pia ni mfungaji bora namba mbili (2) akiwa na magoli 6 ndani ya klab yake ya As Maniema katika ligi kuu ya Congo DR iliyoshika nafasi pili (2) nyuma ya TP Mazembe na kufuzu CAF Champions League.

Agee Basiala pia ametajwa kwenye orodha ya kikosi bora cha msimu cha ligi kuu ya DR Congo cha Msimu huu 23/24.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live