Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wanamtaka ASEC? Hivi ndicho walichokifanya jana Ghana

Les Mimos Yanga wanamtaka ASEC?

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya soka ya ASEC Mimosas ya nchini Ivory Coast, jana Februari 5, 2024 ilicheza mchezo wa Kombe la Rais (President Cup) nchini Ghana baada ya kupata mwaliko rasmi kutoka katika taifa hilo.

ASEC walitwaa kombe hilo baada ya kuifunga magwiiji wa soka la Ghana, Asante Kotoko mabao mawili (2) kwa moja (1).

ASEC Mimosas walichezesha wachezaji ambao huwa hawapati nafasi katika kikosi cha kwanza na wengine ni wale wako kwa academy yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: