Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wanafunga goli na kusawazisha wenyewe - Dauda

Jangwani Mk Yanga wanafunga goli na kusawazisha wenyewe - Dauda

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Sikumbuki ni lini mimekutana na lawama za kushuka kwa ubunifu pale Jangwani [Kiwango kimejenga daraja].

kwenye bango kubwa ndani Jiji la kibiashara ilipoasisiwa dabi bora Afrika zinalingishwa goli tano na kutambulishwa kwa mdhamini mpya.

Wanachokifanya Yanga ni kufunga goli na kusawazisha wenyewe kama wamebaki peke yao uwanjani ,ikishaingia kesho wanajikosoa kisha linakuja bora zaidi ya linalosifiwa leo.

Pichani Unaziona 5G mimi nimeona SPONSORSHIP VALUE! Yani Seven in one.

Ametambulishwa mdhamini mpya ambaye amechagua kuweka kumbukumbu hii kwa kila anayepita hapo, SAIFI STORE angeweza kukaa peke yake kwa kuwa ndiye aliyefanikisha hili lakini wamewekwa wote ili kuwapa thamani

Kwa picha ya nje hakuna mdhamini anayejutia kuweka hela maana anapewa beyond expectation, Shabiki atafurahi kuziona tano ! Kibiashara mdhamini amepelekwa zaidi duniani.

Kitu kama hiko unakiona kushoto City of Manchester kwenye bango kubwa anatambulishwa mchezaji mpya.

Wananchi wao wamechagua kumbukumbu za ushindi na kumtambulisha mdhamini ukisoma kila unachokiona lazima utawaoa SAIFI STORE.

DIGALA nasukuma kete yangu kwa wadogo zangu @alikamwe @privaldinho & @alwatan_abdulazeez nasubiri nani asukume upande mwingine kisha tufunge dau nimtoe knock out asubuhi tu!

Wakati unajifunza kuzoea na kujaribu kusahau unatoneshwa uliposhonwa.

DIGALA

Chanzo: www.tanzaniaweb.live