Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wanacheza, wanafunga na kulinda kwa nidhamu - Mwijaku

Yanga Vs Mamelod 2nd Yanga wanacheza, wanafunga na kulinda kwa nidhamu - Mwijaku

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwaka ni 1995 na na Albam ni " Gardez Votre Souffle"katika Albam hii kuna wimbo unaitwa " Young Africa "ulioimbwa vyema kwa umaridadi na Kabasele Yampanya a.ka. Pepe Kale.

Leo hii huu wimbo ni mtamu sana kuusikiliza sababu Yanga anafanya vizuri dhidi ya timu bora Simba.

Yanga, hua anacheza mechi zake kwa nidhamu anafunga kwa nidhamu, analinda magoli kwa nidhamu na hua anashinda kwa nidhamu na zaidi ya yote Yanga wapo bora kihisia Emotional intelligence Quotient, kuliko Simba kwa sasa .

Yanga ,wanaonyesha wana uwezo wa kucheza mechi kubwa na ngumu kwa ubora na nidhamu kuliko Simba ya sasa kulimgana na sajili zao. Najaribu kusema ukimchukia mtu harafu unamfuatilia basi wewe ni shabiki wake na sio adui.

Maisha yanataka nini Simba ni bingwa wa kihistoria, lakini Yanga anacheza mechi borana zenye mvutonwakati huu. Yanga Mbele Daima nyuma mwiko. Hate it or Love it Yanga wamekuwa bora kuliko Simba. Kwa sasa. Yanganian ,The Winner Takes It All.

Ni wakati wa simba kufanya maamuzi baada ya msimu huuu ni MAAMUZI YA LAZIMA ili kuleta Raha kwa mashabiki wake," amesema Mwijaku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live