Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wana mechi ngumu leo - Master Tindwa

Yanga Wakifungwa Leo Ni Uchovu   Master Tindwa Yanga wana mechi ngumu leo - Master Tindwa

Fri, 24 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi Master Tindwa amesema Yanga SC leo wana mechi ngumu dhidi ya CR Belouzdad huko nchini Algeria.

“Yanga watakuwa na mchezo mgumu sana leo, ukiangalia wakati ligi kuu huku imesimama kupisha mechi za timu za Taifa kule Algeria ligi ilikuwa inachezwa.

“Mfululizo wa utulivu utawapa shida sana Yanga, lakini uzoefu wa Yanga kwa misimu hii utawapa utulivu kiasi Yanga.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live