Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wamrudisha Ali Kamwe, apewa Mkataba wa miaka miwili

Ali Kamwe X Hersi.jpeg Yanga wamrudisha Ali Kamwe, apewa Mkataba wa miaka miwili

Mon, 29 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga Sc imemrejesha Ali Shaban Kamwe kwenye nafasi yake ya Umeneja wa Habari na Mawasiliano na Tayari amesaini Mkataba Mpya wa miaka miwili ndani ya Klabu hiyo.

Klabu ya Yanga Sc imemrejesha Ali Shaban Kamwe kwenye nafasi yake ya Umeneja wa Habari na Mawasiliano na Tayari amesaini Mkataba Mpya wa miaka miwili ndani ya Klabu hiyo. Uamuzi huo wa kumrejesha umefanywa na Rais wa Yanga Eng. Hersi na Makamu wake Arafat Haji baada ya Kamwe kueleza changamoto zake kwa viongozi zilizompelekea kuchukua uamuzi huo kwa maslahi ya pande zote mbili na wamekubaliana kuzifanyia kazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: