Mon, 22 Nov 2021
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Baada ya jioni ya leo Mahakama ya usuluhishi ya Michezo CAS, kutoa hukumu na kumpa ushindi mchezaji Benard Morisson dhidi ya Shauri lililopelekwa na Yanga kuhusu kummiliki mchezaji huyo.
Klabu ya Yanga imetoa kauli yake na kuonekana kukubaliana na hukumu hiyo, na wao kama Klabu wanatazama mbele kwa sasa.
Hii hapa sehemu ya Taarifa ya Yanga kwenda kwa Umma wa Watanzania.
Taarifa kwa Umma#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko pic.twitter.com/bCBRHlsrF2
— Young Africans SC (@yangasc1935) November 22, 2021
Chanzo: www.tanzaniaweb.live