Aliyekuwa mchezaji wa Yanga, Patrick Sibomana ambaye ni raia wa Rwanda ameikaribisha klabu hiyo nchini humo ambapo watacheza mchezo wa hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al-Merrikh ya Sudan waliochagua kutumia Uwanja wa Pele uliopo Kigali kama uwanja wao wa nyumbani.
Aliyekuwa mchezaji wa Yanga, Patrick Sibomana ambaye ni raia wa Rwanda ameikaribisha klabu hiyo nchini humo ambapo watacheza mchezo wa hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al-Merrikh ya Sudan waliochagua kutumia Uwanja wa Pele uliopo Kigali kama uwanja wao wa nyumbani. "Karibuni familia katika nchi yenye vilima 1,000, msijali kuhusu mashabiki wanaipenda sana Yanga, watakuja kuwasapoti na kila la kheri"