Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wakanusha kucheza na AS Vita

Ally Kamwe Monastir Yanga wakanusha kucheza na AS Vita

Fri, 4 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Yanga SC, imekanusha taarifa za kwamba wanatarajia kucheza na AS Vita kutoka nchini Kongo.

Akizungumza na Wasafi FM, Afisa Habari na Mawasiliano, Ally Kamwe, amesema taarifa hizo ziliibuka mitandaoni na zimeishia mitandaoni.

"Hizo taarifa zimeanzia mitandaoni na zimeishia hukohuko mitandaoni. Sisi hatuna ratiba na mechi nyingine yoyote public zaidi ya maandalizi yetu dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ngao ya Jamii," alisema Ally Kamwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live