Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga waitana fasta

Yanga Mshsjs Yanga waitana fasta

Mon, 19 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamati ya Utendaji Yanga SC chini ya Rais Hersi Ally Said jana ilifanya kikao cha kikatiba kwa mwaka 2023 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Kamati ya Utendaji Yanga SC chini ya Rais Hersi Ally Said jana ilifanya kikao cha kikatiba kwa mwaka 2023 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kikao kilizungumzia mambo mbalimbali ya kimaendeleo kwa klabu hiyo ikiwa ni pamoja na maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Wanachama utakaofanyika Jumamosi ijayo Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live