Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga waingia kwenye kinyang'anyiro Tuzo za Baraza la Michezo

Yangas Aziz Kiii Yanga wakishangilia Ubingwa

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu Bora kwa Mwaka 2023, Klabu ya Yanga imetajwa kwenye kipengele hicho inashindana na JKT Queens na Pazia (Timu ya Basketball).

Kocha Bora wa kike Esther Chaburuma (mpira wa Miguu), Amina Mfaume (kuogelea) na Elizabeth Fransis (kikapu)

Mwamuzi bora wa kiume wa Mwaka 2023 Ahmed Arajiga (mpira wa miguu),Noeli kilingi (kuogelea), Shaban msangi (mpira wa watu wenye ulemavu),

Mwamuzi bora wa kike wa mwaka 2023 Amina kyando (Mpira wa Miguu), Pendo Njau (Ngumi) na Baliso Mwidadi (Mpira wa kikapu)

Timu bora ya Mwaka 2023 (Timu za Taifa), Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu, Timu ya Taifa ya Ngumi na Timu ya taifa ya wanawake ya Kriketi

Mwanamichezo bora wa kiume Mwenye ulemavu Vosta Lengonela (WheelChair Tennis) na Shedrack Hebron (Mpira wa Miguu wa walemavu)

Mwanamichezo bora wa kijana wa kike, Winfrida Gerald (Mpira wa Miguu), Sophia latiff (kuogelea) na Shana Mao (Tennis)

Mwanamichezo Bora kijana wa Kiume kwa Mwaka 2023, Romeo Mihaly (kuogelea) na Robert Zuberi (karate).

Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa Mwezi June 09 2024 saa 12:30 Jioni katika ukumbi wa The Super Dome - Masaki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live