Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga waifuata Namungo, lengo ni moja tu (+Video)

Mayele Mtwara Yanga waifuata Namungo, lengo ni moja tu

Tue, 6 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu NBC, Timu ya Yanga kimeanza safari kuelekea Ruangwa Mkoani Lindi kujiandaa na mchezo dhidi ya Namungo FC.

Yanga waliofika jana Mkoani Mtwara, waliweka kambi na leo msafara umeondoka kuelekea Ruangwa.

Mpaka sasa Yanga inaongoza msimamo wa Ligi wakiwa na alama 35 baada ya kucheza michezo 14 sawa sawa na Azam wakiwa na tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa.

Tazama msafara wa kikosi cha Yanga,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live