Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wafunguka Skudu kutopata muda wa kucheza

Yanga Wafunguka Skudu Kutopata Muda Wa Kucheza Yanga wafunguka Skudu kutopata muda wa kucheza

Tue, 26 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga SC wamesema Mahlatse Makudubela Manoka 'Skudu' yupo na muda ukifika wa kucheza basi Wanayanga watamuona uwanjani akiitumikia klabu yake.

Akizungumza na Wasafi FM, Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe alisema, Skudu alipata majeraha wakati alipofika hivyo amelazimika kuanzia chini kimazoezi.

“Yanga imesajili wachezaji 28, wacheza wanaocheza ni kumi na moja na wale saba wa benchi. Skudu alipokuja alipata jeraha la goti na akakaa karibu wiki tatu hivi na kama unavyojua majeraha ya goti sio rahisi kurudi haraka uwanjani, lazima aanze taratibu na muda utafika atakuwa fiti,” alisema Ally Kamwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live