Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wachezea kichapo Sauzi, Baleke atupia

Yanga X Baleke Goal Yanga wachezea kichapo Sauzi, Baleke atupia

Sat, 20 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imekubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Augsburg katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mbombela, uliopo Mpumangala Afrika Kusini.

Klabu ya Yanga imekubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Augsburg katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mbombela, uliopo Mpumangala Afrika Kusini. Mshambuliaji mpya wa Yanga Jean Baleke ameanza vyema baada ya kufunga bao la kufutia machozi kwa timu yake huku Mads Pedersen na Niklas Dorsch wakiifungia Augsburg.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: