Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wabadili mbinu kuadhimisha "Unbeaten"

FduqUOaXkAAvZ H Mashabiki wa Yanga

Sat, 26 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa Yanga wamekuwa na utaratibu wa kusimama na kupigia makofi benchi la ufundi, Uongozi na wachezaji kwa ujumla kwa kitendo cha kutimiza michezo 48 pasipo kupoteza mchezo wa Ligi.

Sasa kwa kawaida Mashabiki wa Yanga walitakiwa kusimama dakika ya 48, lakini kupitia Afisa Habari wao Ally Kamwe amesema leo hawatasiamama lakini kuna jambo kubwa litatpkea mwisho wa mchezo.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, ally Kamwe ameandika;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live