Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga waanza na usajili huu dirisha Dogo..!

Shekhani Yanga Shekhan Ibrahim Khamis

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo Shekhan Ibrahim Khamis (18) kutoka JKU.

Shekhan amesaini mkataba wa miaka mitatu kukipiga kwa Mabingwa hao mara mbili mfululizo wa Tanzania Bara.

Shekhan alikuwa sehemu ya kikosi cha Zanzibar kilichoshiriki CECAFA U18 mwaka huu 2023 pale Kenya

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: