Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga vs TS Galaxy kuoneshwa Live

Yanga Mpumalangaa.jpeg Yanga vs TS Galaxy kuoneshwa Live

Tue, 23 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya TS Galaxy ya ligi kuu ya Afrika Kusini imekubali ombi la Klabu ya Young Africans ambao waliomba mchezo baina yao uoneshwe kwenye TV

Awali klabu hiyo haikutaka Mchezo huo uoneshwe live kwenye TV. Sasa ni rasmi utaoneshwa kupitia Azam Sports 1 HD kesho Jumanne, Julai 24, 2024 saa 10:00 jioni.

Huu utakuwa ni mchezo wa pili kwa Yanga kwenye kampeni yake ya pre-season msimu huu ambapo wamekita kambi nchini Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya wa soka 2024/25.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live