Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga vs Marumo Gallants kupigwa saa 10 Kwa Mkapa

Yanga Afrika Nigeria.png Kikosi cha Yanga

Mon, 8 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mechi ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na Marumo Gallants itapigwa Jumatano Mei 10 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar na marudio yatakuwa Mei 17 nchini Afrika Kusini saa 1:00 usiku.

Mechi ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na Marumo Gallants itapigwa Jumatano Mei 10 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar na marudio yatakuwa Mei 17 nchini Afrika Kusini saa 1:00 usiku. Yanga ambao ndio wawakilishi pekee wa Tanzania waliobaki katika Michuano ya CAF msimu huu baada ya Simba kuondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live