Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga vs Azam, mechi ina mabao 17

Yanga Vs Azam 2 0 FT.jpeg Yanga vs Azam

Sun, 22 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kesho Jumatatu Young Africans watakipiga na Azam Fc katika dimba la Mkapa.

Mechi hii inaenda kufanyika ikiwa imebeba mabao 17 katika mechi 6⃣ za mwisho walizokutana

Yanga 2-0 Azam (Ngao ya Jamii)

Yanga 1-0 Azam (Fainali ya ASFC)

Azam 2-3 Yanga (NBC)

Yanga 2-2 Azam (NBC)

Azam 1-2 Yanga (NBC)

Yanga 2-0 Azam (NBC)

Mara ya mwisho Azam Fc kuifunga Yanga ni Aprili 25, 2021 walipoibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Prince Dube dakika ya 86 katika dimba la Mkapa.

Hii mechi ina kisasi ndani yake, haijawahi kuwa rahisi.

Sitaki kusimuliwa kabisa nitakuwepo kwa Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live