Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga vs Azam fainali ya tatu ndani ya misimu mitatu

Pacome Vs Azam Yanga vs Azam fainali ya tatu ndani ya misimu mitatu

Sat, 10 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga SC na Azam FC watacheza fainali ya (3) ndani ya misimu (3).

◉ Yanga 1 - 0 azam - (FA)

◉ Yanga (7) 0 - 0 (6) Azam - (FA)

◉ Yanga ? - ? Azam - (Ngao).

Yanga, Azam na Coastal Union wametengebeza trend ifuatayo ...

21|22 Azam alipoteza dhidi ya Coastal Union kwenye nusu fainali (FA), Fainali wakacheza Yanga na Coastal ›› Bingwa akawa Yanga.

22|23 Azam alicheza nusu fainali (FA) dhidi ya Coastal Union akashinda, Fainali Azam akacheza na Yanga. Yanga akatwaa Ubingwa.

22|23 Azam alicheza nusu fainali (FA) dhidi ya Coastal Union, Azam akashinda, Fainali Azam akacheza na Yanga Zanzibar. Yanga akatwaa Ubingwa.

23|24 Azam FC amecheza nusu fainali (Ngao) dhidi ya Coastal Union, Azam ameshinda (5_2), Fainali Azam atacheza na Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live