Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga sasa ruksa kusajili

Ally Kamwe Mpira Yanga sasa ruksa kusajili

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga ilifungiwa usajili baada ya taarifa za Malipo ya mchezaji wao wa zamani Mamadou Doumbia kuchelewa kuingia kwenye mfumo kutokana na kuchelewa kufanya sasahisho la mfumo.

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Ally Kamwe ameeleza hayo kupitia TBC Taifa kuwa taarifa za Pacome kusababisha kifungo hicho ni uzushi na ndio maana Pacome Alikuwepo uwanjani Katika hatua nyingine.

Klabu hiyo imekamilisha malipo yote na kupandisha taarifa zote kwenye mfumo wa FIFA za nyota huyo sanjari na kulimaliza suala la malipo ya mchezaji wao wa zamani Lazarious Kambole.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live