Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga ni hatari zaidi kipindi cha pili, rekodi zao zinatisha

Taibi Lagrouni Yangaaaaa Yanga ni hatari zaidi kipindi cha pili, rekodi zao zinatisha

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mazoezi wanayopewa wachezaji wa Kikosi cha Yanga na kocha wao wa viungo, Taibi Lagrouni raia wa Morocco ni mazoezi yanayowajenga sana wachezaji hao kuwa fiti jambo ambalo litazitesa sana timu zingine.

Mpaka sasa msimu huu ligi kuu Yanga wamefunga jumla ya magoli (26) katika mechi (9). Magoli (18) kati ya (26) wamefunga kipindi cha pili.

Mabao ambao Yanga wamefunga kipindi cha pili;

◉ KMC ›› ⚽⚽⚽⚽

◉ JKT Tanzania ›› ⚽⚽⚽⚽

◉ Namungo ›› ⚽

◉ Geita gold ›› ⚽⚽

◉ Azam ›› ⚽⚽

◉ Simba ›› ⚽⚽⚽⚽

◉ Coastal Union ›› ⚽

Nyongeza:

◉ Al-Merrick ›› ⚽⚽

◉ Al-Merrick ›› ⚽

◉ ASAS ›› ⚽⚽⚽

Nini maana yake?

Timu nyingi ligi kuu zinashindwa kufikia level ya fitness waliyonayo wachezaji wa Yanga ndiyo maana nguvu nyingi hutumika kipindi cha kwanza kuwazuia lakini kipindi cha pili pumzi hukata wakati ambapo Yanga wao ndio wanaongeza gia nyingine.

Kutokana na siri hiyo goli tano tano au sita bado hazijaisha. Mzitegemee soon.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live