Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga mikononi mwa TP Mazembe, Makundi Kombe la Shirikisho

Yanga TP Mazembe Yanga imepangwa Kundu D

Mon, 12 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, Timu ya Yanga hatimae imeshusha pumzi baada ya leo Disemba 12 makundi kuwekwa hadharani.

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, Timu ya Yanga hatimae imeshusha pumzi baada ya leo Disemba 12 makundi kuwekwa hadharani. Yanga walitinga hatua hiyo baada ya kuiondosha Club Africain kutoka Tunisia imepangwa kundi D, sambamba na timu za TP Mazembe (DR Congo), US Monastir (Tunisia) , Real Bamako (Mali).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live