Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga mambo yazidi kuvurugika, Kocha mwingine aomba kusepa

VAR Yanga Khalil Ben Youssef

Wed, 21 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtaalamu wa kuchambua mechi za wapinzani, Khalil Ben Youssef raia amewasilisha barua ya kuomba kuondoka Yanga.

Nabi amewapa sharti Kaizer Chiefs akitaka atue na wataaluma watatu lakini kuna dalili ya kukubaliwa wawili tena kwa mbinde huku wakimshinikiza kufanya kazi na wazawa.

Habari zinasema Kaizer Chiefs wako kwenye hatua za mwisho za kuachana na mtaalamu wao wa kuchambua mikanda ya wapinzani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: