Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kuwaleta Mamelodi "Siku ya Mwananchi"

Ally Kamwe 89 Ahmed Ally, Ofisa Habari wa Simba SC

Sun, 7 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakiwa bado wanaugulia maumivu ya kupoteza mchezo wa hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kalabu ya Yanga bado ina kisasi dhidi ya Timu ya Mamelodi Sundowns na kuona wana uwezo wa kuitandika timu hiyo wakati wowote watakapokutana nayo.

Akizungumza Ofisa habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe anasema;

"Nimemuomba Rais wa Yanga @Caamil8 Kwenye Kilele cha Wiki ya Wananchi kuufungua Msimu wa 2024/25 Apambane Atuletee Mamelodi Sundowns.Sisi na Wao Bado Hatujamalizana.."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: