Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kuwakosa Wachezaji watano muhimu, Gamondi athibitisha

Gamondi X Auchooooooo Yanga kuwakosa Wachezaji watano muhimu, Gamondi athibitisha

Fri, 29 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Gamondi amethibitisha kuwa atawakosa wachezaji muhimu wasiopungua watatu kuelekea kwenye mechi yao ya CAF CL dhidi ya Mamelodi Sundowns kutokana na majeraha.

Gamondi amewataja Khalid Aucho, Attohoula Yao, Kibwana Shomari na Pacome Zouzoua kama wachezaji ambao wapo shakani kucheza mechi hiyo.

Pia Gamondi amethibitisha kuwa Aziz KI hajarejea hivyo hajui kama atarudi akiwa salama au la.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: