Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kutangaza Ubingwa mbele ya Dodoma Jiji tena?

Yanga Kikosii Yanga kutangaza Ubingwa mbele ya Dodoma Jiji tena?

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga Ikiwa imebakiwa alama 10 pekee ili iweze kuutetea ubingwa wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara kwa mara nyingine tena kati ya alama 18 ambazo klabu hiyo imebakiza,

Kwa hesabu za kawaida Yanga inahitaji kushinda michezo mitatu (3) walau na sare moja (1), kati ya michezo sita (6) ambayo klabu hiyo imebakiza hadi hivi sasa.

Msimu uliopita Yanga walitangaza Ubingwa mbele ya Dodoma Jiji katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Chamazi huku Yanga wakiibuka na ushindi wa bao 4-2 huku Mudathir Yahya akitupia bao 2.

Matokeo hayo yatategemea michezo ijao ya wapinzani wao wanaowafuata.

Azam Fc

Mechi 24

Alama 54

Simba Sc

Mechi 22

Alama 47

Michezo ijayo ya Yanga

vs Mashujaa - A

vs Kagera - H

vs Mtibwa Sugar -A

vs Dodoma Jiji -A

vs Tabora United -H

vs TZ Prison -H.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live