Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kushusha wanne Januari

Hersi X Gamondi Usajili Yanga kushusha wanne Januari

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Habari kutoka ndani ya Yanga ni kwamba hesabu mpya za sasa ni mabosi wa klabu hiyo wameongeza idadi zaidi ya wachezaji watakaosajiliwa dirisha dogo hadi kufikia wanne, wakiwamo washambuliaji wawili baada ya mmoja kama walivyokuwa wamepanga awali.

Habari kutoka ndani ya Yanga ni kwamba hesabu mpya za sasa ni mabosi wa klabu hiyo wameongeza idadi zaidi ya wachezaji watakaosajiliwa dirisha dogo hadi kufikia wanne, wakiwamo washambuliaji wawili baada ya mmoja kama walivyokuwa wamepanga awali. Mbali na washambuliaji wawili, pia Yanga inataka winga na kiungo wa kati anayeweza kumudu ukabaji na hata ushambuliaji kwa nia ya kuongeza wigo mpana kwenye eneo hilo ambalo kwa sasa linaonekana kuzidiwa nguvu na Khalid Aucho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: