Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kurudi kambini leo

Yanga 2023 24 Yanga kurudi kambini leo

Mon, 24 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga chini ya kocha wao mkuu Miguel Gamondi kitarejea leo mazoezini pale Avic Town - Kigamboni mara ya baada ya mapumziko mafupi kwa wachezaji waliopewa hapo Jana.

Kikosi cha Yanga chini ya kocha wao mkuu Miguel Gamondi kitarejea leo mazoezini pale Avic Town - Kigamboni mara ya baada ya mapumziko mafupi kwa wachezaji waliopewa hapo Jana. Kikosi cha Yanga jana kilicheza mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Kaizer Chiefs katika Uwanja wa Benjamin Mkapa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: