Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kumtagaza mchezaji atakayeibeba mechi ya Mamelodi leo

Mashabiki Wote Wa Yanga Tuchomekee Jumamosi   Ali Kamwe.jpeg Yanga kumtagaza mchezaji atakayeibeba mechi ya Mamelodi leo

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga SC leo Marchi 25, 2024 wanatarajia kumtagaza mchezaji atakayeibeba mechi yao dhidi ya Mamelodi Sundowns itakayohezwa Jumamosi hii Marchi 30, 2024 katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe amesema kama ilivyo desturi yao kuwapa mechi wachezaji basi leo muda wowote kuanzia sasa wanatarajia kumtangaza mchezaji atakayeubeba mchezo huo.

Yanga wamewawahi kuwapa mechi wachezaji kadhaa akiwemo Pacome, Bacca na Aziz Ki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live