Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kumshusha Manzoki "Siku ya Mwananchi"

Manzoki Yangaaaa Yanga kumshusha Manzoki "Siku ya Mwananchi"

Mon, 1 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, 2021/2022 Yanga watakipiga na Mabingwa wa Ligi Kuu ya Uganda Vipers United Katika kilele cha wiki ya Mwananchi.

Yanga ambao wanakwenda katika Tamasha la wiki ya Mwananchi, wameialika Vipers FC kuja kucheza nao mchezo katika siku ya Julai 6, Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Klabu ya Vipers FC ndiyo ambayo anaichezea Straika Cesar Manzoki anaewindwa na Simba SC huku dili hilo likiwa bado lina vuta nikuvute.

Kwa Mantiki hiyo iwapo Simba wakishindwa kumsajili Manzoki bila shaka mchezaji huyo atakuwepo katika mchezo huo siku ya Jumamosi,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live