Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kumshusha Azam FC kileleni leo?

Mudathir Na Mzize.jpeg Yanga kumshusha Azam FC kileleni leo?

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga SC leo atakuwa na kibarua kizito cha kuwakabili Namungo FC ambao watakuwa nyumbani kwao Ruangwa mkoa wa Lindi.

Endapo Yanga ataibuka na ushindi, atamshusha Azam FC kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kwenye Msimamo Yanga anacheza mchezo huo wa leo ukiwa ni 17 akiwa na alama 43 akiwa nafasi ya pili chini ya Azam FC ambaye amecheza michezo 20 akiwa na alama 44.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live