Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kumsajili Mamadou Doumbia?

Mamadou Doumbia Yanga kumsajili Mamadou Doumbia?

Thu, 12 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kabla ya dirisha la usajili kufungwa Januari 15, 2023, Tetesi mbalimbali za usajili zinagonga vichwa vya habari nchini.

Mabingwa mara 28 Ligi Tanzania Bara Yanga SC, huwenda wakamsajili na kumtangaza beki, Mamadou Doumbia raia wa Mali.

Beki huyo kisiki, mrefu wa futi 6 na inchi 2 na anayependelea zaidi kutumia mguu wake wa kulia hucheza nafasi ya Centre-Back.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live