Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kuingiza watoto uwanjani bure

Yanga Kuingiza Watoto Uwanjani Bure Yanga kuingiza watoto uwanjani bure

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe amesema klabu hiyo inadhamiria kuanzisha utaratibu wa kuruhusu watoto chini ya umri wa miaka 10 kuingia uwanjani bure kwenye michezo ya timu hiyo.

Akizungumza na HabariLEO mapema leo, @alikamwe amesema lengo ni kutengeneza mashabiki na Wananchi imara kwenye timu hiyo kwa miaka ya baadaye.

“Na unajua mtoto unavyomrisisha mtafutie ‘moment’ (wakati) mzuri huwezi haiwezi kuja mechi kama ‘derby hii’ ukamwambia njoo, hapana unaangalia mechi fulani hawa watoto wanaowaskia Max Zengeli, Pacome Zouzoua waje wawaone,” amesema Kamwe.

Kamwe amesema kama klabu hiyo ikifanikiwa kuchukua ubingwa mapema watu wategemee kuona uhusiano wa karibu na wadau wa klabu hiyo. -

Chanzo: www.tanzaniaweb.live