Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kuendeleza ubabe kwa Namungo leo?

Yanga Ya Motoooo Yanga kuendeleza ubabe kwa Namungo leo?

Sat, 4 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo inashuka dimba la Benjamin Mkapa, dar es Salaam kuikaribisha Namungo.

Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 56 baada ya michezo 21 wakati Namungo ni ya 6 ikiwa na pointi 29.

Katika mchezo mwingine leo Azam ni wageni wa Dodoma Jiji kwenye uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Azam ipo nafasi ya 3 ikiwa na pointi 43 baada ya michezo 21 wakati Dodoma Jiji inashika nafasi ya 13 ikiwa na pointi 21.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live