Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kazi inaanza Leo

Gamondiss Miguel Ángel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Yanga wanarudi kazini leo. Kocha wao mpya Miguel Gamondi atakutana na mastaa wake leo tayari kuseti mitambo tayari kwa kuliamsha dude.

Yanga hawaendi Ulaya kama wenzao Simba, watakuwa kwenye kambi pale Avic Town, Kigamboni lakini tambua kutakuwa na sura mpya.

Baadhi ya mastaa wapya ni Nickson Kibabage, Gift Fred, Jonas Mkude na Maxi Nzegeli Mpia wanazungumzwa kuwa wataripoti sambamba na wenzao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: