Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kambini kesho kuanza kuiwinda Simba

Yanga Match Post Poned Yanga kambini kesho kuanza kuiwinda Simba

Sun, 29 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga SC, kesho Jumatatu, Oktoba 30, 2023 jioni kinatarajiwa kuanza mazoezi kuelekea Dabi ya Kariakoo.

Mchezo huo wa Ligi Kuu ya NBC ambao umepangwa kuchezwa Jumapili ijayo ya Novemba 5, 2023, tutakabiliana na Simba kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar Es Salaam.

Yanga tutaingia kwenye mchezo huo ikiwa vinara katika msimamo wa Ligi Kuu ya NBC tukifikisha pointi 18, huku tukifunga magoli 20 na kuruhusu magoli 4.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live