Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga jino kwa Jino na Ahly, Mamelodi Tuzo za CAF

Yanga Tuzo CAF Yanga jino kwa Jino na Ahly, Mamelodi Tuzo za CAF

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka Barani Afrika limeitaja Klabu ya Yanga kuwania Tuzo ya Klabu Bora ya Mwaka 2023 kwa Wanaume Barani Afrika.

Yanga SC itachuana na Klabu za CR Belouizdad, USM Alger, Asec Mimosas, Al Ahly, Raja CA, Wydad AC, Mamelodi Sundowns, Marumo Gallants na ES Tunis katika kinyang'anyiro hicho.

Tuzo hizi zitatolewa Desemba 11, 2023 Jijini Marrakesh, Morocco

Tazama hapa chini Timu zinazowania Tuzo hiyo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live