Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga itautikisa Mji wa Pretoria?

Yangaaaa X Mamelodi Yanga itautikisa Mji wa Pretoria?

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika michuano ya Kimataifa Klabu ya Yanga ilifanikiwa kutikisa miji mikubwa barani Afrika na kupata ushindi ugenini,Orodha ya Miji mikubwa ambayo imetikiswa na Yanga ni hii ifuatayo

Yanga 1-0 Club Africain

Mji wa Tunis (Tunisia)

Yanga 1-0 Tp Mazembe

Mji wa Lubumbashi (DR Congo)

Yanga 2-0 Rivers Utd

Mji wa Uyo (Nigeria)

Yanga 2-1 Marumo

Mji wa Polokwane (A Kusini)

Yanga 1-0 USM Alger

Mji wa Algiers (Algeria)

Mamelodi vs Yanga?? Je Yanga watautikisa Mji wa Pretoria kwa kuwafunga Mamelodi Sundowns na kuwatoa Robo Fainali CAFCL?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live