Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga inaweza kukata Rufaa na kuripoti Kesi ya Upangaji Matokeo

Yanga X Masele Yanga inaweza kukata Rufaa na kuripoti Kesi ya Upangaji Matokeo

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuzuka sintofajamu kutokana na Klabu ya Yanga kulalamikia kukataliwa goli halali dhidi Mamelodi Sundowns mchezo wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

Stepeh Masele ameandika;

“Klabu ya Younga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young Africans ataipata upendeleo”

Soma kwa kirefu hapa Chini

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: