Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga imetua kwa Bonito

Bonaventure Fonseca Bonito Yanga imetua kwa Bonito

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga SC imewasiliana na uongozi wa Klabu ya Teungueth ya nchini Senegal wakihitaji huduma ya kiungo mkabaji wa klabu hiyo, Bonaventure Fonseca Bonito.

Mchezaji amevutiwa na Yanga SC yuko tayari kujiunga nao kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika nchini Senegal.

Klabu ya Yanga imepanga kutuma ofa rasmi muda wowote kuanzia sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live