Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga imepeleka somo Afrika

Yanga Out CAF Yanga imepeleka somo Afrika

Sun, 7 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Yanga kuchafua hali ya hewa AFRIKA kwa mjadala kuwa CAF inaendeshwa kwa RUSHWA baada ya waamuzi kukataa bao la Aziz Ki dhidi ya Mamelodi Sundowns

Kwa sasa hakuna timu itatamani kucheza na Yanga kwenye mashindano ya CAF kwa statement waliyoiweka

Yanga ndio timu pekee tangu (2015) kuizuia Mamelodi Sundowns kufunga goli lolote kwenye michezo miwili hatua ya robo fainali CAF-CL.

NB ; Mamelodi Sundowns ndio timu iliyokuwa inaogopwa zaidi Africa currently.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live